hahari wadau! siku chache zilizopita nilileta mada iliyokuwa inahusu wataalam wa kilimo,nawashukuru wale wote waliotoa michango yao bila hiyana. leo nahitaji kuelekezwa ni wapi naweza fanyiwa soil analysis ya shamba langu na kwa gharama kiasi gani ili wakati wa kulima nije kutumia matumizi sahii za mbolea za kisasa kusudi niweze kupata/kuvuma mazao yenye kuleta faida.