Kupima viwanja

Kupima viwanja

Curious gal

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
3,200
Reaction score
4,008
Hellow!

Naomba msaada wenu nahitaji kujua bei ya kupima viwanja viwili ambavo ni tayari makazi ya watu
 
Kupanda bicon pamoja na hati ni laki tatu kwa kiwanja kimoja viwili itakua laki sita.....

Upo sehemu gani..
 
ila naomba gov yetu ijarb kupunguza gharama kidogo laki tatu bado hapo gharama ya kununua.kama mwanakijiji tu na usawa huu hzo kilo tatu atazipatia wapi
 
ila naomba gov yetu ijarb kupunguza gharama kidogo laki tatu bado hapo gharama ya kununua.kama mwanakijiji tu na usawa huu hzo kilo tatu atazipatia wapi
Mkuu surveyor anachukua laki mbili kwa upimaji ilapamoja nakufuatilia ili wewe mwenye kiwanja upate hati ni laki moja.
 
Mkuu Mimi nina kaplot kangu wazohil dar, inaweza kuanzia survey hadi kupata hati inanigharimu kiasi gani? Je wewe ni muhusika sekta hii?
Kupanda bicon pamoja na hati ni laki tatu kwa kiwanja kimoja viwili itakua laki sita.....

Upo sehemu gani..
 
Mkuu unaweza kumwita surveyor akaangalia eneo
Ilagharama za upimaji hazitofautiani sana kama unataka kupima wewe binafsi peke yako gharama zinakua juu kidogo ila kama ni halmashauri imeamua kupima eneo au mtaa gharama zinapungua tofauti na mtu binafsi unapotaka kupimiwa wewe kama wewe...
 
Mh gharama itakua kubwa mana naona mpng wa kulasimisha kimara laki 3 then baada ya hapo kufatilia hati unalipa 2 laki sasa upimaji binafsi itakuaje c balaa ilo ingekua laki tatu kila mtu angekua na hati tanzania jipange mamilion mzee la sivyo ngoja ukutane na watt wa mjini ndo utajua kwann watu wanasema wanaenda dar kutafuta maisha baada ya hela yako kukutoka wa watu wa dar
 
Back
Top Bottom