Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Oohhh okay......hata hivo kuna mtu ameshanisaidia kwingineNikajua ni kupima oil.
Pthread ipo kwenye wrong jukwaa
Hahahahahaaaa ni viwanja bhanaKupima HIV
Mkuu surveyor anachukua laki mbili kwa upimaji ilapamoja nakufuatilia ili wewe mwenye kiwanja upate hati ni laki moja.ila naomba gov yetu ijarb kupunguza gharama kidogo laki tatu bado hapo gharama ya kununua.kama mwanakijiji tu na usawa huu hzo kilo tatu atazipatia wapi
Kupanda bicon pamoja na hati ni laki tatu kwa kiwanja kimoja viwili itakua laki sita.....
Upo sehemu gani..
Mkuu surveyor anachukua laki mbili kwa upimaji ilapamoja nakufuatilia ili wewe mwenye kiwanja upate hati ni laki moja.
Kesho baada yakutoka chech nakutafuta mkuu japo kwasasa sipo dar es salaamNitumie namba yako mkuu...
Nipo dar 0713203920
#12 nafikiri nimekujibu mkuu...Mkuu Mimi nina kaplot kangu wazohil dar, inaweza kuanzia survey hadi kupata hati inanigharimu kiasi gani? Je wewe ni muhusika sekta hii?