KIMTINDO S
New Member
- Oct 18, 2013
- 2
- 2
Je eneo lakolimeingizwa kwenyeHabari wakuu, naomba process ya kufanya mpaka unapimiwa eneo lako la biashara kufungua kituo cha mafuta, na aina ya makampuni yanayopima maeneo tafadhali.
Je eneo husika lipo kwenye Ramani za mipango miji?Habari wakuu, naomba process ya kufanya mpaka unapimiwa eneo lako la biashara kufungua kituo cha mafuta, na aina ya makampuni yanayopima maeneo tafadhali.
Inatakiwa kuchukua coordinates a kuzipeleka Ardhi kujua kama eneo limepangwa kwa matumizi gani, kama litaruhusu shughuli husika. Mbali na survey Pia utahitaji kufanya Environmental Impact Assessment (EIA) kwaajili ya NEMC.Habari wakuu,
naomba process ya kufanya mpaka unapimiwa eneo lako la biashara kufungua kituo cha mafuta, na aina ya makampuni yanayopima maeneo tafadhali.