Kwa nini tusiwatoe na kuhakikisha hawarudi milele?
Ulitarajia watekelezaji waache wenyewe Kwa hiyari yao?Inawezekana gharama ya kuwatoa ni kubwa zaidi kwani haya yalipaswa kusimama tokea kwa kina Ben, Lijenje na wengi wengine.
Si wanasema "if you can't beat it ..?
Ulitarajia watekelezaji waache wenyewe Kwa hiyari yao?
Magufuli mlitaka atawale beyond term limit hatimaye ameoza kabla ya awamu yake kukamilika.
Kamanda, sikutegemea unyoshe mikono kisurrender mapema hivi!
Sema waishi milele, huwezi tawala milele wakati hàuishi milele.Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?
Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?
Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu.
Kama haya yanatokea na tatizo ni dhana ya demokrasia na utawala jumuishi tu, kutokuwa zimeridhiwa vilivyo?
Kwamba kama waliopo madarakani wakiachwa watawale milele ndiyo suluhisho la haya?
Kwa hakika kupisha machungu ya namna hii ipendekezwe walioko madarakani waendelee kutawala hadi watakapojichokea!
Naomba kutoa hoja.
Muovu anapofanikiwa usimwonee wivu, kila teneo linahesabiwa na kulipwa hapa Duniani.Ukisema "mlitaka" hIyo ni tungo tata.
Zingatia hapa tunashauriana la kufanya.
Kina Soka hawajulikani walipo. Chunguzi za kina Mzee Kibao hakuna anayeziongelea.
Chaguzi na sokomoko hata kipofu kaona!
Rudia kusoma vizuri HOJA uliyoiweka mezani ijadiliwe.Wapi unasoma surrender kamanda zaidi ya kukubali kushiriki chaguzi bila ya katiba mpya?
Rudia kusoma vizuri HOJA uliyoiweka mezani ijadiliwe.
Hoja ya kijinga sana hii kwahiyo haiungwi mkono hata kidogoNi machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?
Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?
Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu.
Kama haya yanatokea na tatizo ni dhana ya demokrasia na utawala jumuishi tu, kutokuwa zimeridhiwa vilivyo?
Kwamba kama waliopo madarakani wakiachwa watawale milele ndiyo suluhisho la haya?
Kwa hakika kupisha machungu ya namna hii ipendekezwe walioko madarakani waendelee kutawala hadi watakapojichokea!
Naomba kutoa hoja.
Kama m7 sio.Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?
Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?
Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu.
Kama haya yanatokea na tatizo ni dhana ya demokrasia na utawala jumuishi tu, kutokuwa zimeridhiwa vilivyo?
Kwamba kama waliopo madarakani wakiachwa watawale milele ndiyo suluhisho la haya?
Kwa hakika kupisha machungu ya namna hii ipendekezwe walioko madarakani waendelee kutawala hadi watakapojichokea!
Naomba kutoa hoja.
Hoja ya kijinga sana hii kwahiyo haiungwi mkono hata kidogo
Nakubaliana nawe.Tusikaze sana shingo.Ngoja waendelee mpaka wachokeNi machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?