Kupita bila kupingwa - is this democracy too?

Kumbe ni biashara ya miaka mingi iliyopita!!!!
 
Ndiyo ! Demokrasi ya wapumbavu

Amepita bila kupingwa na nani ?
Mbona alipingwa kwenye chama chake ?
Kwanini asiwekwe apate kura zaidi 50 % ya zikizopigwa ili astahili kutangazwa ni mshindi ?
Wakurugenzi wana maamuzi kuzidi wapiga kura wa majimbo
Hivyo wanaopita pasipo kupingwa ni wachaguliwa na Wakurugenzi
 
Tumeshuhudia ndani ya chama mtu akipita kwa kura 100%.

Bandiko limekaa vizuri sana. Kiuzalendo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…