Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Kesi hii atashindwa kwa sababu katiba ndio inaruhusu ibara ya 78 (2) (a) (b) [toleo la 2005]. Au akishinda CJ atamwambia ni kweli lakini limekaa kisiasa zaidi hivyo suala hilo liende Bungeni ambako wengi wa wabunge wanafurahia kupita bila kupingwa.
Mwanakijiji anastahili sifa nyingi. Ni wachache sana, kama wapo, ambao walikuwa wameliona hili. Wengi tulikuwa tumejiunga na mkumbo wa kudhani kuwa CCM imewapiga mabao wapinzani bila kuangalia matakwa ya Katiba. Sasa kazi siyo kuishawishi Tume ya Uchaguzi kuchukua hatua bali vyama vya upinzani vichukue hatua za kisheria/kikatiba kuhakikisha kuwa utapeli huu wa CCM haufanikiwi. Hasante M.M.
Kuna mtu ameniuliza kuhusu hii barua..
Hii imenikumbusha ile clip ya Lawrence Mwasha alipokuwa anajidai amepita bila kupingwa, alidhani CCM ikeshachagua habari ndiyo inakuwa imeishia hapo, matokeo yake wote tumeona. Bigup sana mwanakijiji kwa hii, hope imeshawafikia walengwa.Mwanakijiji anastahili sifa nyingi. Ni wachache sana, kama wapo, ambao walikuwa wameliona hili. Wengi tulikuwa tumejiunga na mkumbo wa kudhani kuwa CCM imewapiga mabao wapinzani bila kuangalia matakwa ya Katiba. Sasa kazi siyo kuishawishi Tume ya Uchaguzi kuchukua hatua bali vyama vya upinzani vichukue hatua za kisheria/kikatiba kuhakikisha kuwa utapeli huu wa CCM haufanikiwi. Hasante M.M.
Thanks Mwanakijiji, umetutoa usingizini tulipokuwa tumelala totoro, natumaini hata NEC wenyewe watakubaliana na wewe kuwa wamefanya kosa kubwa na kuvunja kiapo kwa kwenda kinyume cha sheria japo hawawezi kusema hadharani lakini nafsi zitakubali.
Mi nafikiri sasa ni wakati muafaka wa kufungua kesi mahakamani kupinga uhalali wa wabunge wetu hawa wanaojiita wamepita bila ya kupingwa, Yupo wapi mchungaji mtikila nadhani hili ni dili kwake na ni lazima atshinda hii kesi.