Kupita bila kupingwa - is this democracy too?

Hakuna kitu kinaitwa kupita bila kupingwa ni uhuni tu unafanyika haiwezekani kwenye Jimbo wagombea 5 wote wakose sifa halafu mmoja tu ndio awe na sifa.

Mtu akiwa hana sifa automatically hatakuwi kupewa form ya kugombea unampaje form mtu asiye na sifa?.
 
Miaka kumi sasa wameamua kuziba masikio, ndio kwanza hila zinatawala kuwabana wengine ili watu wapite bila kupingwa kuepuka uwanja huru.
 
Wagombea kutengenezeea Kesi. Kuwekwa mahabusu kabla ya siku ya kurudisha ... form..
Wengine kuogopa na kwenda mafichoni.

Hapo lazima CCM wapite Bila kupingwa...

Case study Tunduma.

It is better to give a strong man power than to give a weak man power.

For the weak are for more cruel, unforgiving, and tyrannical than the strong.

Weak men destroy everything.
 
Aisee JF ya kina Slaa hii!

Watu wamejadili kwa hoja na mifano na kisomi bila mihemuko.

Njoo sasa kwenye Jf hii ya kina Lisu!
Unaweza kutapika.
 

Wakati bado OG
 
Kipindi hicho uko na utashi mzuri na maono
 
Maandazi Republic kila taasisi iko compromised..
Tatizo kubwa wakurugenzi na maafisa watendaji ambao ndio wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na kata wote ni makada kindakindaki wa. Ccm.

Wanaingia kwenye vikao vya kamati za siasa kwenye level zao.

Ni katiba mpya peke yake ndio muarobani wa mambo haya, at least baada ya uchaguzi ule wa mafuriko ya Lowasa wapinzania wangesimama kwanza na ajenda moja tu kudai kwa nguvu tume huru ya uchaguzi.
 
Kwa nini wakosee wapinzani tuuu, hii kitu haifai na haikubaliki, please please NEC wajiangalie Mara mbili kabla hawajachafua hali ya hewa ingekuwa basi hata tungeona na wapinzani japo hata m'moja kapita kwa huu mtindo wao mpya ili tuu kutudanganya Ila kinachofanyika ni uhuni tuu. Nahisi kuna watu wana roho za kishetani wanahamu tuu kuona damu za watu..
 
Sijui itatokea miujiza mpk hao wakurugenzi/NEC watangaze upinzani wameshinda.
 
NEC ni ccm
Wasimamizi wa uchaguzi ni ccm
Vyombo vya $ vyote ni ccm
Hapo unategemea nini?

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kama A=B,B=C then A=C--RPC Mshana

CCM kushindwa Uchaguzi ni kujitakia yenyewe tu wkt vyombo vya dola viko chini yenu-Rpc Mshana kwny mkutano wa CCM pale AICC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…