MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kupitia hii kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake 3, ninajifunza mengi sana. Sasa kumbe waliokua wabishi na wasiovumilia mateso haya waliyoyatoa kina Goodluck kuna watu walikua wanadanja na kutupwa?
Kwanini wasiojulikana tusiseme kua ni hawa wa kina Goodluck? Hii kesi ni Mungu anapeleka ujumbe kwenye jamii. Sasa polisi wetu wamefikia pabaya, wamepitia jamii hasira mno isiyoelezeka. DPP angeondoa hii kesi mapema watu warudi uraiani kuliko walikofikia hivi sasa.
Kuna Komandoo inasemekana anaitwa Moses Lijenje, Polisi wanasema hawakumkamata mpaka leo hawajui alipo, Lakini hao hao kina Polisi kina Goodluck wanawaambia washtakiwa kua watawatupa kama walivyomtupa Moses Lijenje, hii maana yake nini? Watuambie Komandoo Moses Lijenje yupo wapi?