GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pirlo bado anacheza MLS marekaniAndrea Pirlo..., Huyu bro amestaafu na utamu wake..!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hao wote cha mtoto kwa Jakaya Kikwete.
Deco wakati yupo kwenye ubora wake xavi alikua anakaa benchi
Deco kakamilika atakupigia pasi atakukaba na atapiga mashuti ya mbali na rafu atakuchezea bila wasiwasi
huyo ndio mbrazil aliyetimkia ureno Barca porto chelsea
Akili yako bila shaka ina makengeza..!Hao wote cha mtoto kwa Jakaya Kikwete.