Ripoti yake ndiyo nini? Unaelewa maana yaripoti kweli?Ripoti ilikua yake, ya nini kupeleka ushahidi?
Statement zote ngumu " kutosahau na kutisamehe"HATUJASAHAU,HATUJASAMEHE
Acha tu.wametuulia ndugu zetu siku 3 mfululizo.hata baada ya kufanyila maaandamano waliendelea kuua.utawasamehe vipi hawa watu.?Statement zote ngumu " kutosahau na kutisamehe"
Wakati hayo yanaendelea akapanda helicopter 2 ngerengereYule mama kwa hiki alichofanya labda ahame nchi au atawale milele,mpaka CCM wenyewe wana hasira nae ila hawatoi makucha sasa hivi ni suala la muda tu