luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kwa miaka ya ivi karibuni league kuu ya soka ya Tanzania imeongeza hamasa ya kutazamwa na baadhi ya wana habari wa michezo wa kubwa toka nje ya Tanzania.
Kwa kipekee kabisa mchango unaofanywa na hawa wafanyabiashara wakubwa kuingia ktk soka na kuweka pesa ktk vilabu ambavyo vina umri mkubwa lkn haviendani na maendeleo waliyo nayo.. sasa ivi wafanya biashara hawa hawa leta hamasa ligi inatazamwa kupitia mdhamini wa Tv rights
Ni wazi Nchi inatazamwa katika nyanja ya mchezo wa soka , sasa ni vyema pia sekta kama ya utalii nayo ikadumbukizwa humo humo kwa maana TTB na wao wasiwe nyuma kuweka fedha walau kwa kilabu kama cha Simba, Utopolo, Azam ma Hawa Geita