Kupitia Paul Kagame nimejikubali.

Kupitia Paul Kagame nimejikubali.

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
For so long time nimekuwa well off kwenye mchezo wa kikubwa ila kuna jambo lilikuwa linaninyima raha sana.

Mimi ni mwembamba mrefu, kama Kagame, ingawa Kagame amenizidi kimo na wembamba.

Nilianza kumjua Kagame kwa kumfuatilia kwa ukaribu kupitia social media, nikiwa chuoni.

Kagame ameoa mke mnene kuliko yeye, yaani ana nyama, kwa lugha nyepesi. Shape ya maana n.k!

Binafsi nilikuwa shy mno kuvua nguo mbele ya 'manzi' hapo kabla, ila nilipo dedicate time kumfuatilia huyu mwamba, nimekuwa na confidence sana.

Yaani na mapaja yangu membamba nivue nguo mbele ya 'manzi' halafu nisione aibu kweli? Ilikuwa ngumu kwangu.

Nikawaza: huyu tall na wembamba ule amezaa watoto 5 na yupo vizuri na wife. Why not me? Why yeye anajikubali na ni thinner than me?

Aisee nikaanza ku change from then. Till now, naipenda mno couple ile. Imenifunza ujasiri na kujiamini.
 
Picha for reference.
images (2).jpeg
 
Wembamba sio ugonjwa, ma miss wanautafuta kwa udi na uvumba
 
Back
Top Bottom