Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Ni siku za mwisho wa mwaka huu wa 2024, kila mmoja wetu ana fanya tathimini yake binafsi, familia jamii na hata taifa kwa ujumla.
Kila kunapo pambazuka hatukosi jipya la kujifunza, ikizingatiwa akili ya mwanadamu imeundwa kwa mfumo wa kujifunza wakati wote uhai ukiwepo.
Kwangu binafsi nimejifunza vingi na vingine nimejifunza kwa gharama kubwa ila kupitia picha hizi mbili nimejifunza kwa upekee na kuzingatia na pia kushirikisha jamii.
(1) haijalishi wingi wao, au wapo sahihi kiasi gani kama umeona wanaelekea kusiko kuzuri acha nao, haidhuru watakuona ajabu kiasi gani.
(2) haidhuru unapitia hali gani au ni mhitaji kiasi gani au ni maskini kiasi gani, asiache kufurahi na kutabasamu maana ujumla wa maisha ni furaha .
Unaweza ukatabasamu na kufurahi kwa mema na mazuri uyakumbukayo uliyo wahi kuyafanya.