Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu

Cathsandra

Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
17
Reaction score
51
Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu,

HEBU TAZAMA;

1.Wasanii wa muziki wanalalamikia BASATA

2.Wasanii wa Filamu wanalamikia bodi ya filamu

3.Mpira wa miguu tatizo TFF iliyo chini ya BMT

Hizi taasisi zote zipo chini ya wizara ya habari,sanaa na michezo,ninachojiuliza hii wizara ina shida gani,kuna nn nyuma ya pazia[emoji848]
 
Zinaongozwa na siasa badala ya weledi... Na hiyo wizara hupewa mawaziri kama zawadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…