Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kuna huyu bwana mdogo aitwaye majizo mwenye kituo cha EFM ni noma sana yaan clouds nzima wamefyata juu yake bwana mdogo akifanya yake
matusi aliyofanya hapa mwanza ni hatari sana yaaan kwa sasa mwanza nzima ni EFM ruge kwa her mwanza
Pasipo kupoteza mda mwenye CV YAKE NAOMBA AIWEKE HAPA ILI WOTE TUPATE KUMFAHAM FRESH
Nawasilisha
LONDON BABY