Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Apr 9, 2016 #21 hazole1 said: Mkuu dawa ya kweli ya nguvu za kiume ni kufanya mazoezi kwasababu wanasema nguvu za kiume unategemea zaidi msukumo wa damu. Click to expand... mbona nasikia mabouncer hamna kitu, au wale hawafanyagi mazoezi, the great safari to pagak starts no whiteman medicine can stop...lawino huyo
hazole1 said: Mkuu dawa ya kweli ya nguvu za kiume ni kufanya mazoezi kwasababu wanasema nguvu za kiume unategemea zaidi msukumo wa damu. Click to expand... mbona nasikia mabouncer hamna kitu, au wale hawafanyagi mazoezi, the great safari to pagak starts no whiteman medicine can stop...lawino huyo
E el patron Member Joined Jan 3, 2016 Posts 53 Reaction score 18 Apr 9, 2016 #22 MZEE RAZA said: Fanya mazoezi , Acha pombe na misigara itakutia uhanithi, kunywa Chai ya tangawizi asubuhi na ucku, tumia mchanganyiko wa asali mbichi, habatsoda ya unga, na maziwa fresh asubuhi na jioni, Wengi wameponzwa na pombe Hatimae ndoa zao zi mashakani, Click to expand... Kweli kbs mkuu,nimewahi sikia maziwa mtindi,kiini cha yai la kienyeji na asali ukimix kwa pamoja ukatumia kila siku inasaidia.
MZEE RAZA said: Fanya mazoezi , Acha pombe na misigara itakutia uhanithi, kunywa Chai ya tangawizi asubuhi na ucku, tumia mchanganyiko wa asali mbichi, habatsoda ya unga, na maziwa fresh asubuhi na jioni, Wengi wameponzwa na pombe Hatimae ndoa zao zi mashakani, Click to expand... Kweli kbs mkuu,nimewahi sikia maziwa mtindi,kiini cha yai la kienyeji na asali ukimix kwa pamoja ukatumia kila siku inasaidia.