Kuporomoka bei ya mahindi mahindi

Kuporomoka bei ya mahindi mahindi

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Kwa hivi sasa bei ya mahindi maeneo mengi imeporomoka sana, kule Tarime naambiwa gunia la mahindi la kg 108 linauzwa 35,000/-, kwa hali hii ya mkulima itaendelea kuwa duni miaka yote.
 
Kwa hivi sasa bei ya mahindi maeneo mengi imeporomoka sana, kule Tarime naambiwa gunia la mahindi la kg 108 linauzwa 35,000/-, kwa hali hii ya mkulima itaendelea kuwa duni miaka yote.
Si wanavuna Sasa hivi ulitaka yawe shilingi ngapi Boss...
 
Mwaka huu mahindi ni mengi sana, ata huko mashambani yamekubali sana.
 
Doh....itakuwa ni kweli aisee maana wakulima wananipigia simu wanarudisha mashamba hawalimi tena mwaka.
 
Back
Top Bottom