ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Wakuu habari za wakati huu?
Ningependa kufahamu hizi gari zimekumbwa na shida gani mpaka watu kuanza kuziuza kwa kasi sana tena kwa bei kutupa kwa gari kali na yenye hadhi kama hii.
Imefikia hatua gari hizi huuzwa hadi kufikia nusu ya bei ya IST used hapa bongo, yaani imekuwa bei ya Brevis mbili za mkononi ni sawa sawa na IST moja iliyotumika hapa Bongo.
Karibuni kwa maoni yenu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app