Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

ministrant

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
754
Reaction score
1,478
Wakuu habari za wakati huu?

Ningependa kufahamu hizi gari zimekumbwa na shida gani mpaka watu kuanza kuziuza kwa kasi sana tena kwa bei kutupa kwa gari kali na yenye hadhi kama hii.

Imefikia hatua gari hizi huuzwa hadi kufikia nusu ya bei ya IST used hapa bongo, yaani imekuwa bei ya Brevis mbili za mkononi ni sawa sawa na IST moja iliyotumika hapa Bongo.

Karibuni kwa maoni yenu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Huko kwenu wana uza Tsh ngapi...

Weka picha ya hizo brevis ulizo letewa na bei, una weza pata mteja wa haraka sana

Kama ipo ktk hali nzuri naweza shawishika kuichukua
Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app

Kuna jamaa yangu yuko kinondoni analiuza 3M cash namba DH , jana kapewa 2.9 kakataa kama unalitaka sema
 
Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kwan gari hua tunanunua usajiri wa namba au uzima wa engine, naweza nunua gari namba A kabisa,cha msingi engine iwe nzima tu
 
Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mbona bei kubwa hivyo? Nipe 4.5m nikupe Brevis namba DLE.
Ni hivi gari used hasa sedan za engine kubwa hazina demand kubwa hivyo kupelekea bei kuwa chini. Sio Brevis tu hata MarkX au Crown bei huwa chini
 
Si vema kupost magari ya watu humu ila unakuta Brevis namba DL.. inasoma 7.5M na Brevis namba DF... inasoma 7M kitu ambacho ni ngumu kukuta IST ya namba hizo ikiuzwa kwa bei hiyo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Itakuwa uliona wenge ,DF usajili wa 2015 haiwezi uzwa 7.5m

Hizo ni 5m max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…