Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Tazama Umri wa vijana wetu aisee..
 
Ndugu zangu sina haja ya Kuandika Mengi..
Ila machozi yananibubujila kwa Huzuni Nyingi sana Hivi wako wapi wale Wanajeshi wanavunja Matofali kwa Kichwa kwenye Maonyesho au wale wanaovunja matofali kwa Mkono..
Waje wavunje hizi kuta na Kusogeza Nondo watu walioko bado underground watoke?

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…