Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Hao jamaa ni hatari sanaa,wana kazi nyingiii
 
Khoja Shia Ithna asheri Jamaat.
Jumuiya ya Kiislam ya madhehebu ya Shia Tanzania
 
Hakuna kamati wala ripoti itakayotoka, ripoti hazisaidiagi kitu, maskini tuendelee kuwasifia matajiri, wao wanawaishwa india na private jet na kurudishwa na majenenza huku sisi tukibebwa na kirikuu.
 
Hao ni wa Shia. Wahindi wana Task force. Majanga yakitokea wanaenda kusaidia. Hapo kkoo taka jmosi wanaleta maji na vyakula kwa ajili ya waokoaji. Jana wamepika chakula containers elf 1, chakula kinapikwa temple ya wa sikh. Na wamelete mitungi ya oxygen pia.
 

Nimeipenda hii .
 
Nani anayezuia matumizi ya majengo chakavu? Kulikuwa na stop oder yoyote kuhusu matumizi?
Usalama unaanza kwako binafsi,kabla kusubiri mtu mwingine,akupe tahadhari.Ukiwa barabarani,wewe mwenyewe binafsi,utembee kwa kufuata sheria za barabarani,usisubiri atokee mtu mwingine,akupe tahadhari ya kuvuka barabara.
 
Kuanguka kwa ghorofa la Kariakoo, na lile la wakati wa marehemu Lowassa akiwa PM ni ishara tosha ya tatizo kubwa la nchi linalozidi hata kansa ya binadamu. Kwa kifupi kwa kiwango cha juu, jamii nzima ya Tanzania inaumwa ugonjwa hatari. Na 'ugonjwa huo nahisi unajumuisha ujinga na upumbafu uliokithiri (UUU).'

 
Ni nchi gani hapa duniani yenye watu wenye akili haipatwi majanga?
Majanga ni majanga mzee hatuwezi fanana majanga..
Kila ardhi na majanga yake...
Huko unakoona Kuna watu Wana akili ndo Kwanza wanapigana na kuuana Tena kwa vyombo vizito..
Punguzeni ujuaji wa kindezi kwamba tuishi soft soft Bila matatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…