Wengi walifiiri maendeleo ni kuwa na bidhaa za nje sasa mnalia nini? kazi kubwa ilofanyika kumlaumu mwalimu Nyerere imewafikiasha hapa sasa iweje watu mnaanza kulia lia wakati viwanda vinakufa mlisema bora vife vinatutia hasara. Wengine vibanafsishwe kumbe walonunua walitaka kukunua ardhi wakaua viwanda na kuuza vipuli nchi jirani.
Nchi hii tulikuwa na Tipper kiwanda cha kusafishia mafuta kabla ya Kenya, leo sisi tunasafisha mafuta nchi jirani. Tulikuwa na viwanda vya nguo leo China inapiga hatua kubwa kimaendeleo kwa mtaji wa viwanda vya nguo. Nyerere alituancha na viawanda sijui 7 vya Korosho leo viko wapi? halafu bado watu mnaichagua CCM kuongoza nchi, haya kesho sijui tunalazimika kuichagua UKAWA, ambayo hakuna Mtanzania hata mmoja anajua mwongozo wao katika ujenzi wa Uchumi. Tulipokuwa na Chadema tulijua wana lengo gani wana nia, nini msimamo wao juu ya uwekezaji nchini na kukuza viwanda. dawa!