Kupost fomu ya bodi ya mikopo

Kupost fomu ya bodi ya mikopo

beniko

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
94
Reaction score
9
Naombeni msaada wadau, ili kuipost fomu ya bodi ya mikopo kwa njia ya EMS pale nje ya bahasha tunaandika anwani ya namna gani?
 
Naombeni msaada wadau, ili kuipost fomu ya bodi ya mikopo kwa njia ya EMS pale nje ya bahasha tunaandika anwani ya namna gani?

Yaa kwao address ipo katika fomu yako ya mkopo kwa juu pale
 
Back
Top Bottom