B beniko Member Joined Dec 26, 2013 Posts 94 Reaction score 9 Jun 1, 2014 #1 Naombeni msaada wadau, ili kuipost fomu ya bodi ya mikopo kwa njia ya EMS pale nje ya bahasha tunaandika anwani ya namna gani?
Naombeni msaada wadau, ili kuipost fomu ya bodi ya mikopo kwa njia ya EMS pale nje ya bahasha tunaandika anwani ya namna gani?
mkisyeli JF-Expert Member Joined May 6, 2013 Posts 260 Reaction score 76 Jun 2, 2014 #2 beniko said: Naombeni msaada wadau, ili kuipost fomu ya bodi ya mikopo kwa njia ya EMS pale nje ya bahasha tunaandika anwani ya namna gani? Click to expand... Yaa kwao address ipo katika fomu yako ya mkopo kwa juu pale
beniko said: Naombeni msaada wadau, ili kuipost fomu ya bodi ya mikopo kwa njia ya EMS pale nje ya bahasha tunaandika anwani ya namna gani? Click to expand... Yaa kwao address ipo katika fomu yako ya mkopo kwa juu pale