da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 402
- 444
Pole kwa hilo Mkuuhabari yenu gr8t thinkers mimi nlichaguliwa SUA 4th round lakini baada ya kwenda kureport nkaambiwa deadline imeshapita,nkaamua kurudi nyumbani baada ya hapo kuna m2 akanambia inabidi nkareport then ndo niahirishe mwaka.kwa hiyo kama kuna mtu anajua utaratibu wa chuo SUA kuahirisha mwaka anisaidie maana naogopa kupoteza tena nauli......,au hata kunipatia contacts za SUA itasaidia sana..god bless you all
Tuko pamoja MkuuOh ahsante alpha1 mungu akupe nini jamani,nitapiga kesho simu hyo na ntakupa majibu,mungu akubariki sana
Huna lolote ww njaaa tu ndo inakusumbua