Kupotea kwa cheti cha kidato cha Nne (CSEE)

NYAMASHEKI

Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
20
Reaction score
11
Habari Wana jukwaa!

Mwenzenu nimepotelewa na CHETI CHA KIDATO CHA NNE (2012), nafanyaje Ili nipate kingine, au Kuna taratibu gani za kufuata.

Ushauri tafadhali
 
Pole sana mkuu, bila shaka kwa wanaojua taratibu watakuja kukupa msaada
 
Habari Wana jukwaa!, Mwenzenu nimepotelewa na CHETI CHA KIDATO CHA NNE (2012),,nafanyaje Ili nipate kingine, au Kuna taratibu gani za kufuata. Ushauri tafadhali
Umesha toa taarifa polisi?

Nenda baraza la mitihani ukatoe taarifa pia.

Huwa hawatoi cheti kingine, hapo zamani walikuwa wanathibitisha nakala sijui kwa sasa
Pole sana
 
Duuh! Kwa maana hiyo sasa Kwa mfumo wa elimu wa kitanzania; mimi sijasoma elimu ya secondary? So Sina uthibisho sasa.
 
Duuh!!Kwa maana hiyo sasa Kwa mfumo wa elimu wa kitanzania; mimi sijasoma elimu ya secondary??? So Sina uthibisho sasa
Umeomba ushauri, umepewa ushauri nini cha kufanya, kisha unafanya hitimisho la ajabu. NECTA ni taasisi ina taratibu zake. fuata taratibu kama ulivyoshauriwa. kisha utaona nini kinatokea
 
Ingia kwenye tovuti ya NECTA, chukua namba zao uwapigie, utapata maelekezo nini cha kufanya.
 
umeomba ushauri, umepewa ushauri nini cha kufanya, kisha unafanya hitimisho la ajabu. NECTA ni taasisi ina taratibu zake. fuata taratibu kama ulivyoshauriwa. kisha utaona nini kinatokea
Asante Kwa ushauri mkuu!!
 
Watakuambia nenda polisi.

Baadae utangaze kwenye gazeti

Sijui nn nnn

Ila pole , ngoja waje wakupe muongozo
 
Utaratibu ni mrefu sana, iko hivi ,unatakiwa uende polisi ukatoe maelezo namna cheti kilivyopotea, wao watakupa fomu fulani, baada ya polisi unatakiwa utoe tangazo kwenye gazeti, baada ya hapo ingia Kwenye mfumo wa necta kuna sehemu ya kuomba cheti kipya, ukifika iyo sehemu watadai uwatumie ile fomu uliyopewa polisi na sehemu ya tangazo lako la gazeti, baada ya kufanya hivyo utapewa namba ya malipo utalipia then baada ya siku 30 utapewa taarifa cheti chako kipo teyari, utaamua wewe kukifuata makao makuu au wakutumie posta.
 
Ndo hivo kaka!! Ila nishawasiliana na Necta, wamenitumia form ya maelezo namna ya kufanya.
 
Utaratibu ni mrefu sana, iko hivi ,unatakiwa uende polisi ukatoe maelezo namna cheti kilivyopotea, wao watakupa fomu fulani, baada ya polisi unatakiwa utoe tangazo kwenye gazeti, baada ya hapo ingia Kwenye mfumo wa necta kuna sehemu ya kuomba cheti kipya, ukifika iyo sehemu watadai uwatumie ile fomu uliyopewa polisi na sehemu ya tangazo lako la gazeti, baada ya kufanya hivyo utapewa namba ya malipo utalipia then baada ya siku 30 utapewa taarifa cheti chako kipo teyari, utaamua wewe kukifuata makao makuu au wakutumie posta.
umesahau kitu kimoja michakato yote iyo haifanyiki gafla wanakupa muda kutoka umetangaza mpaka miezi kazaa kama hujakipata ndio unaomb mchakato ni mwaka mzima
 
Back
Top Bottom