Habari za leo wazee. Nimekua nikisafilisha mizigo kwenye magari yanayo safirisha mizigo kutoka kariakoo kuja morogoro, jana mzigo wangu wenye thamani ya sh 4.4M( milioni nne na laki nne) umepotea .
Kwa wazoefu likitokea tatizo kama hilo inatakiwa nipitie njia gani ili mwenye gari aweze kunilipa ?naomba msaada