Kupotea kwa mkuu Stroke na vijana wa Lumumba JF

Kupotea kwa mkuu Stroke na vijana wa Lumumba JF

Lugeye

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
1,679
Reaction score
2,915
Wanabodi na wakuu, nimepata mshtuko mkubwa sana kwa wiki moja hii baada ya xmas kumekuwa na ukimya sana wa kada maarufu wa CCM mkuu stroke na baadhi ya UVCCM wenzake humu jukwaani

Naomba mwenye taarifa zao atujuze nini kimewapata member wenzetu, huu ukimya si kawaida yao kabisa.
 
Lkn Troll Jf yy naona bado anakomaa,ss hivi nasikia zile buku saba hamna tena pale Lumumba hali ni tetee
 
Aidha wamechoka kumtetea bwana yule maana inahitaji moyo mgumu sana kumtetea.
Au.
Wamejitahidi kutetea kwa nguvu zote lakini TEUZI hazijawapata wameamua kususa.
 
Wana mgongano wa maslahi. Ni watu wa Lumumba na wakati huo huo ni wafuasi wa makanisa ya maaskofu na wachungaji walio na mgogoro na serikali. Wameamua 'kunyuti'
 
Wana mgongano wa maslahi. Ni watu wa Lumumba na wakati huo huo ni wafuasi wa makanisa ya maaskofu na wachungaji walio na mgogoro na serikali. Wameamua 'kunyuti'
Unaakili sana wewe huo ndio ukweli
 
Buku 7 imekata si umesikia wamekili uchumi umeshuka?
 
Vyuo vimefungwa kwa ajili ya likizo fupi za sikukuu.

Walikuwa wanatagemea free wireless internet ya chuo kupost pumba zao.

Now hawana access ya net.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji685] [emoji687] [emoji687]
 
Back
Top Bottom