kupotea kwa MO kunasababisha marumbano kwenye mahusiano

Hata mi nimeomba likizo ya wiki tatu kwa ajili ya kumtafuta MO, bosi kanambia nenda lakini nisirudi.
 
Hiyo namba ya Debora nimeikopy sehemu.
Ngoja nimwambie jambo ili tuweke sawa mipango.
 
Kama mahusiano yenu mnayaendesha kimasikhara lazima masikhara yawatawale na iko ulichokileta hakina tofauti na masikhara.

Pia jiandae kupinduliwa Mkuu sababu namba umeweka hapo ataimbishwa mpaka akome.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona post no #7 imepigwa kapokea Me eti. Teh teh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa atakuwa ameshaiwahi simu ya mpenzi wake. Maana anajua me tunavyoingia kwa mapinduzi ya kuteka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…