Kupotea kwa note ya 500 kwenye mzunguko wa fedha

Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,981
Reaction score
3,604
Katika mishe mishe zangu vijiweni na masokoni nimekumbana na malalamiko ya kuadimika kwa noti/sarafu ya Tsh. 500. Kwa wale wajuzi wa uchumi sijui hili mnalizungmziaje???

Pia wanadai note ya Tsh 5000 ndio inaoletwa zaid na wanunuzi katika biashara. Ndio kusema uchumi wetu unazorota?? Wajuzi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…