Mkuu ugoni unaweza kukamatiwa ofisini? SiaminiKuachiwa kwa mitego siamini hata kidogo kama ni nia njema, Kwa Nay nahisi yasemwa haya...... watakataa kwa watu flani hawahusiki, labda ni wahuni ambao wana sababu binafsi za nje, labda ugoni au wanadaiana, ila serikali haikua na tatizo kwakua ilimwacha huru ...... Napata wasiwasi.
kwani huyo house boy waliye ondoka naye, naye atakuwa sehemu ya deni analo daiwa Roma?Kuachiwa kwa mitego siamini hata kidogo kama ni nia njema, Kwa Nay nahisi yasemwa haya...... watakataa kwa watu flani hawahusiki, labda ni wahuni ambao wana sababu binafsi za nje, labda ugoni au wanadaiana, ila serikali haikua na tatizo kwakua ilimwacha huru ...... Napata wasiwasi.
Si ndo hapo sasa hawa jamaa wanapojikanyaga.. Eti hatuwezi juwa labda waliotekwa walikua na ugomvi wao binafsi, labda ugoni au madeni... Hamna logic...kwani huyo house boy waliye ondoka naye, naye atakuwa sehemu ya deni analo daiwa Roma?
The country of endless dramaz.. Najivunia kuwa mwana wa nchi katika Tanganyika hii. Nakuona umemrudisha RomaSi ndo hapo sasa hawa jamaa wanapojikanyaga.. Eti hatuwezi juwa labda waliotekwa walikua na ugomvi wao binafsi, labda ugoni au madeni... Hamna logic...