Nenda Hosp ukamcheki kooni..baba angu mkubwa alianza hivo tukajua tatizo Dogo la haula kufika muhimbili cancer ya Koo tena imefika mpaka maeneo ya kifuani hivo Ni vema akaenda Fanya CT scan mjue shida Ni nini, si maanishi atakuwa Na cancer no sababu sauti kukauka Ni kawaida lakini kwa watu wazima tena kama alikuwa anakula kilaji nendeni mkamcheki hospHabari wana JF.
Mzee wangu ameamka sauti haitoki, hawezi kuzungumza, ilianza kupotea taratibu tangu juzi, lakini leo asubuhil imekauka kabisa. Hana maumivu yoyote kooni wala sehemu nyingine yoyote mwilini, yuko kawaida kabisa, anakula na anakunywa vizuri kabisa, ila shida ni hiyo tu, sauti haitoki.
Je! Tatizo litakua ni nini?
Shukrani🙏Nenda Hosp ukamcheki kooni..baba angu mkubwa alianza hivo tukajua tatizo Dogo la haula kufika muhimbili cancer ya Koo tena imefika mpaka maeneo ya kifuani hivo Ni vema akaenda Fanya CT scan mjue shida Ni nini, si maanishi atakuwa Na cancer no sababu sauti kukauka Ni kawaida lakini kwa watu wazima tena kama alikuwa anakula kilaji nendeni mkamcheki hosp
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia mkataze kuzama chumviniHabari wana JF.