Kupotea Kwa wananchi kadhaa na serikali kuamua kukaa kimya, tafsiri yake ni kuwa wananchi tutaamini kuwa, serikali yetu inahusika!

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,843
Reaction score
31,057
Jukumu kubwa kabisa la Polisi nchini, ni kuwalinda raia wake na Mali zao.

Inapotokea raia mbalimbali, wanapotea bila serikali yetu kutoa maelezo yoyote kuhusu kupotea huko, tafsiri yake ni kuwa wananchi tutaamini kuwa serikali yenyewe ndiyo inahusika.

Tumeshuhudia Kwa miezi kadhaa iliyopita, raia mbalimbali wakipotea na ndugu zao kuripoti Polisi kuhusu upotevu huo, lakini Polisi wamekuwa walikanusha kuhusika kuhusu kupotea huko Kwa raia hao.

Tukio la karibuni kabisa ni la Edgar Mwakabela, maarufu kama Sativa, ambaye alipotea jijini Dar, kutokea tarehe 23/6/2024 na kupatikana tarehe 27/6/2024 katika Hifadhi ya misitu ya huko Katavi, akiwa amejeruhiea vibaya Kwa kupigwa risasi kichwani.

Kwa maelezo yake mwenyewe Sativa, anasema alitekwa na watu wasiojulikana jijini Dar na walimlaza katika karakana ya Polisi Oystebay na baadaye wakampeleleka Arusha na baadaye wakampeleka Katavi na kutupwa porini, akiwa amejeruhiwa vibaya Kwa kupigwa risasi kichwani na baadaye akapatikana na hivi sasa anatibiwa katika hospitali ya Agakhan, iliyoko jijini Dar.

Najiuliza maswali kadhaa, ndugu zake Sativa walimtafuta ndugu yao Sativa, katika vituo kadhaa vya Polisi, kikiwemo hicho Cha Oystebay na Polisi wa kituo hicho walikanusha kumpokea Sativa katika mahabusu yao!

Ninajiuliza pia, ilikuwaje huyo Sativa, aweze kusafirishwa Hadi Arusha na baadaye Mkoani Katavi, bila kugundulika katika vituo kadhaa vya Polisi walioko Barabarani??

Baadaye tumemsikia Rais Samia, akijitolea msaada wa matibabu ya huyo Sativa!

Tulitegemea Rais Samia Suluhu Hassan, badala ya kutoa tu msaada huo wa matibabu, pia atengue mara moja uteuzi wa Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na IGP, Camilius Wambura na aunde Tume huru ya kuchunguza, kupotea Kwa Sativa, kama atataka serikali yake ijitambulishe kuwa ina utawala Bora.

Badala yake, tumeshuhudia, sarikali yote ikiwa kimya kabisa, bila kutoa ufafanuzi wowote, juu ya kupotea Kwa Sativa!

Hivi watawala wetu wa CCM, wanataka tuwaelewe vipi Kwa kukaa kimya huko, Kwa tukio zito la kiasi hicho, ambalo linataka kutolewa ufafanuzi, Kwa kuwa usalama wa raia ni jukumu namba moja la Polisi wetu??

Wananchi pia tulitegemea, Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na IGP, Camilius Wambura, wawajibike Kwa kujiudhuru nyadifa zao, kutokana na kadhia hiyo, badala yake tunaona kuwa wanaendelea na nyadhifa zao, kama vile hakuna kitu chochote kilichotokea!

Hivi serikali yetu, inataka raia wote tuishi Kwa wasiwasi mkubwa, wa kujihami na watu hao, ambao Polisi wetu, wanatuamisha kuwa ni watu wasiojulikana??
 
Huyu jamaa amewakosea nini watawala mpaka wamfanyie hivyo?
 
Hatujui amewafanya Nini watawala.

Lakini sisi wananchi tunajua kuwa Kuna taratibu za kisheria, zinazohusu raia yeyote aliyefanya kosa lolote la jinai, Ili apelekwe mahakamani na asomewe mashtaka yake na ikithibitika kuwa makosa hayo ameyatenda, ndipo atahukumiwa
 
Kuna wakati yale mavijana majinga ya usalama yalikuwa yanajiona miungu mtu, labda yamerudi tena, hakuna mijitu ya hovyo kama mikoloni myeusi
 
Jukumu kubwa kabisa la Polisi nchini, ni kuwalinda raia wake na Mali zao.

Inapotokea raia mbalimbali, wanapotea bila serikali yetu kutoa maelezo yoyote kuhusu kupotea huko, tafsiri yake ni kuwa wananchi tutaamini kuwa serikali yenyewe ndiyo inahusika.

Tumeshuhudia Kwa miezi kadhaa iliyopita, raia mbalimbali wakipotea na ndugu zao kuripoti Polisi kuhusu upotevu huo, lakini Polisi wamekuwa walikanusha kuhusika kuhusu kupotea huko Kwa raia hao.

Tukio la karibuni kabisa ni la Edgar Mwakabela, maarufu kama Sativa, ambaye alipotea jijini Dar, kutokea tarehe 23/6/2024 na kupatikana tarehe 27/6/2024 katika Hifadhi ya misitu ya huko Katavi, akiwa amejeruhiea vibaya Kwa kupigwa risasi kichwani.

Kwa maelezo yake mwenyewe Sativa, anasema alitekwa na watu wasiojulikana jijini Dar na walimlaza katika karakana ya Polisi Oystebay na baadaye wakampeleleka Arusha na baadaye wakampeleka Katavi na kutupwa porini, akiwa amejeruhiwa vibaya Kwa kupigwa risasi kichwani na baadaye akapatikana na hivi sasa anatibiwa katika hospitali ya Agakhan, iliyoko jijini Dar.

Najiuliza maswali kadhaa, ndugu zake Sativa walimtafuta ndugu yao Sativa, katika vituo kadhaa vya Polisi, kikiwemo hicho Cha Oystebay na Polisi wa kituo hicho walikanusha kumpokea Sativa katika mahabusu yao!

Ninajiuliza pia, ilikuwaje huyo Sativa, aweze kusafirishwa Hadi Arusha na baadaye Mkoani Katavi, bila kugundulika katika vituo kadhaa vya Polisi walioko Barabarani??

Baadaye tumemsikia Rais Samia, akijitolea msaada wa matibabu ya huyo Sativa!

Tulitegemea Rais Samia Suluhu Hassan, badala ya kutoa tu msaada huo wa matibabu, pia atengue mara moja uteuzi wa Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na IGP, Camilius Wambura na aunde Tume huru ya kuchunguza, kupotea Kwa Sativa, kama atataka serikali yake ijitambulishe kuwa ina utawala Bora.

Badala yake, tumeshuhudia, sarikali yote ikiwa kimya kabisa, bila kutoa ufafanuzi wowote, juu ya kupotea Kwa Sativa!

Hivi watawala wetu wa CCM, wanataka tuwaelewe vipi Kwa kukaa kimya huko, Kwa tukio zito la kiasi hicho, ambalo linataka kutolewa ufafanuzi, Kwa kuwa usalama wa raia ni jukumu namba moja la Polisi wetu??

Wananchi pia tulitegemea, Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na IGP, Camilius Wambura, wawajibike Kwa kujiudhuru nyadifa zao, kutokana na kadhia hiyo, badala yake tunaona kuwa wanaendelea na nyadhifa zao, kama vile hakuna kitu chochote kilichotokea!

Hivi serikali yetu, inataka raia wote tuishi Kwa wasiwasi mkubwa, wa kujihami na watu hao, ambao Polisi wetu, wanatuamisha kuwa ni watu wasiojulikana??
"Mkinizingua chawa wangu hawatakubali, nao watakuzingua".
 
serikali inahusika moja kwa moja. Njia pekee kuiondoa ccm madarakani si sanduku la kura....hawa hawatoki. Lazima kutafuta njia mbadala
 
Msihofu, hii ni serikali sikifu. Mnapotea, mkifanikiwa kuchoropoka mnalipiwa matibabu.

Bongo ni kama Squid Game tu.
 
exactly, rigging will be as usual in the coming election, and nothing will change. Other means are needed even if "violence" like Gen Z
Fikiria yule Mwenyekiti wa UVCCCM, Mkoa wa Kagera alitamka hadharani, kuwa Polisi isiwatafute watu wanaopotezwa!

Bado kijana huyo Yuko huru na Wala hajakamatwa!
 
Back
Top Bottom