Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Habarini za mchana wakuu.
Kuna mtoto wetu anaitwa Adela Antony Mnyenyelwa kapotelewa na begi kwenye daladala asubuhi ya Leo akitokea Buzuruga stendi to Nyegezi Stendi.
Kwa maelezo yake ni kuwa alisimama ktk daladala kwa kukosa kiti na alikuwa na mabegi 2 aliposhuka alianza kuchukua begi kubwa then akajisahau kuchukua kibegi kidogo jamii za haya mabegi ya kichina ya watoto wa shule ambalo kilikuwa Na nyaraka zake za Chuo Cha Mipango ikiwemo vyeti vya mbalimbali.
Na aliposhtuka anarudi haraka ile gari hakuikuta. Naomba msaada kwa yeyote atakayepata taarifa ya kuokota vyeti hivyo awasiliane kupitia namba 0789-714595,0712-249054 na 0788-279892, Natanguliza shukrani