Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,546
- 4,486
Sawa mkuu nimeongea na Mwenyekiti wa umoja wa Madereva na Makondakta jiji la Mwanza (MWAREDA) kasema anafuatilia kwa ujirani, binti kaenda Polisi central kutoa taarifa wamemwambia afike kesho, tofauti na hapo tunaendelea kupambana kwa Hali na Mali Mimi nimetoa taarifa humu kwakuwa ni family friend na siishi Mwanza na hii taarifa nimepata mchana huu nikasema ni share na Great thinkers maana huwa hatufeli kizembe.1. Kaongee na makonda wa daladala na madereva wana umoja wao. Kubali kutoa ata hela kidogo.
2. Nenda kituo cha polisi cha jirani, kutoa taarifa kwaajili ya usalama wako na pia itasaidia vikipatikana.
3. Bandika matangazo, eneo ilo makubwa, kama kuna mtu kachukua lazima atakua anakuja uko.
4. Nenda kwenye radio local Tangaza. Lipia mzigo.
5. Ukikosa, nenda utapata copy yake.