Cha chuo kinapatikana unanatakiwa utagaze kwenye gazeti na baadae uambatanishe hio nakala ya gazeti na uwaandikie barua chuo husika kwa taarifa ni vizuri akaambatanisha na copy ya vyeti husika kama anavyo na vyeti vya form 4 na 6 waandikie necta atajibiwa kwa barua na wanatoa msaada kila wakati vitavyohitajika kimaandishi kwa yule atakae hitaji kwa ada ya sh 10,000 lkn wao hawatoi cheti chengine