Kupoteza Fahamu kwa muda mfupi

Ugali mtam

Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Naomba msaada jaman ninshida au tatizo la kupoteza faham kwa sekunde kazaa alafu faham inarudi. Nini shida na kama kunashida nn ufumbuzi wa hili tatizo
 
Una msongo wa mawazo..........?.........
 
Mkuu unasumbuliwa na jini makata ww,hilo sio tatizo la kwenda hospitali
 
Nenda muhimbili mapema. Mambo ya mishipa ya ufahamu (Neurons).
 
Unahitaji utulivu na mapumuziko marefu kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…