GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
wadau kuna jamaa yangu amepoteza funguo ya gari .alishapoteza ile ya kwanza na sasa amepoteza ile ya akiba. anahangaika afanye nini . kama kuna mtu ana uzoefu katika hili please tufahamishane ili nami nimsaidie kwa maoni na ushauri. gari jana aliliacha ofisini sababu hakuwa na funguo na leo ndo anahangaika kutafuta alternative.
pili mimi nina kibaiskeli changu kina mbwembwe nyingi sana funguo ya kufungia kufuli lake ipo kama ya gari kabisa.kabisa kila kitu. nami je naweza kuchonga wapi na ni tsh ngapi kuchonga funguo ili nisije nikaenda wakataka kunigonga. napenda kufanya research kabla ya kununua kitu.