Kupoteza hamu ya mgegedo

mnyandzombe

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
245
Reaction score
194
Bwana Yesu asifiwe sana wapendwa.

Naomba kufahamishwa ukweli wa hili. Hivi ni kweli mama mjamzito hupoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa? Kama ni kweli sababu zake ni zipi?
Je kuna madhara yoyote kiafya kwa huyo mjamzito kutoshiriki tendo hilo la ndoa kisa hana hamu?

Mbarikiwe kwa ushiriki wako/wenu
 
ni kawaida nadhani,inaweza kusababishwa na mabadiliko ya hormones mwilini.kuna wataopenda zaidi kujamiiana na kuna wale kina nyie hamna hamu.nadhani ni kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…