Chikwangara
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 685
- 939
Huyu dogo ni fala sana. Alimbania Sadim akampandisha jukwaani demu wake eti nawatambulisha shemeji yenu. Fala yeye.Huyo Baraka nafikiri akikumbuka ujinga alioufanya anajutia
Bongo Team Mondi na Kiba ndo wanadetermine career yako kuwa up au kugo down... sasa unyumbu wake umemponza kweli kweli
Sijamuelewa mleta mada,Mbona chombo inasumbua?
Yako wapi hayo majivuno saizi[emoji23][emoji23] mziki umemshinda na kaachwa na demu!!Huyu dogo ni fala sana. Alimbania Sadim akampandisha jukwaani demu wake eti nawatambulisha shemeji yenu. Fala yeye.
TATIZO NI PROMO.Walianza kwa mbwembwe sana lakini, wameshachuja na nyimbo zao hazisikilizwi tena.
Rayvanny
Lava lava
Baraka the Prince
Harmorapa
.......na wengine wengi tu, mfano hata pale WCB wamebaki majina tu, hamna wanachoimba zaidi ya kurudia mistari na kukatika.
Ali Kiba ndio kabisa kaamua akajifiche kwenye soka, je tatizo ni nini?
Bila shaka una kichaaWalianza kwa mbwembwe sana lakini, wameshachuja na nyimbo zao hazisikilizwi tena.
Rayvanny
Lava lava
Baraka the Prince
Harmorapa
.......na wengine wengi tu, mfano hata pale WCB wamebaki majina tu, hamna wanachoimba zaidi ya kurudia mistari na kukatika.
Ali Kiba ndio kabisa kaamua akajifiche kwenye soka, je tatizo ni nini?
Rayvanny - Wasiwasi, nyimbo yangu ya kulalia.