Mi nimewahi safiri moscow kwenda instubul hiyo hiyo Turkish sijawahi ona,hata Qatar na fly emirates sijawahi onaHilo mbona kawaida??mi nilisafiri kutoka london kwenda Istanbul na Turkish airline nao walipuliza...ni kuweka mazingira ya hewa nzuri mara baada ya abiria kupanda.
Mi nimewahi safiri moscow kwenda instubul hiyo hiyo Turkish sijawahi ona,hata Qatar na fly emirates sijawahi ona
Mambo ndo hayo sasahata mie nimesafiri toka tandahimba hadi namtumbo sijawahi kuona.....
hiyo siyo perfume wala airfresher ni madawa maalum yanayopulizwa kwenye ndege ili kuua vijidudu hasa unaposafiri kutoka huku kwetu kwenda kwenye nchi za wenzetu ambazo hasa hazina Malaria.
hata mie nimesafiri toka tandahimba hadi namtumbo sijawahi kuona.....
Mkuu hzo dawa zinawekwa kabla abiria hawajaingia au?
hata mie nimesafiri toka tandahimba hadi namtumbo sijawahi kuona.....
hiyo siyo perfume wala airfresher ni madawa maalum yanayopulizwa kwenye ndege ili kuua vijidudu hasa unaposafiri kutoka huku kwetu kwenda kwenye nchi za wenzetu ambazo hasa hazina Malaria.
Mimi nilisafiri njia kama yako, tulipofika Kagunguli walipuliza hiyo kitu!.hahahahahaahaha! umenifurahisha sana, hata mie nimesafiri kutoka mrutunguru hadi Nansio sijawahi kuona!!!!
Mimi nilisafiri njia kama yako, tulipofika Kagunguli walipuliza hiyo kitu!.
Hebu nipe uelekeo wa namna ya kufika huko Yaenda, hivi unapanda meli ziwa Tanganyika ndo inakufikisha huko?.Huku Yaeda tunapuliza hata bila kusafiri.......kusafiri kitu gani bana.......freshner walawala........
hata mie nimesafiri toka tandahimba hadi namtumbo sijawahi kuona.....
Mimi nilisafiri njia kama yako, tulipofika Kagunguli walipuliza hiyo kitu!.