Kupumua(kujamba) mbele ya mpenzi wako, hii ikoje?

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,424
Reaction score
2,333
Wakuu Kama swali linavyouliza hapo juu!

Kwa upande wangu mim naona hii haijakaa sawa, awe ni mpenzi wangu au ni mke wangu, Kama amekaa kwenye mazingira yenye utimamu Basi ni lazima azingatie faragha, huwezi kupumua mbele ya mtu wako wa karibu au hata mume/mke wako.

Binafsi mim ukifanya hvyo yaani utakuwa umepunguza %kadhaa za kukuheshimu. Yaani mtu anapumua then unamuona Yuko ok tu Wala hashtuki, ile siyo involuntary action useme it was above your willing, ile hewa inapokuwakuwa around rectal muscles information is direct transferred to the brain and now you feel kwirf, unatafuta faragha kuepusha air pollution and sound disturbance.

Wakuu mim ni naona si vyema. kwenu nyinyi hii imekaaje?
 
Mke/Mume tunatarajia utaishi naye maisha yote mpaka kifo kiwatenganishe, je utaweza kujibana maisha yako yote ili akuone mstaarabu? Maisha Halisi ni Maisha Rahisi.
 
Acha kufananisha kujamba na vitu vya kijinga bhana! Kujamba ni ibada..
 
ile siyo involuntary action
Hebu jaribu kula ndondo mixer mayai ya kuchemsha halafu uje useme tena kuwa kutoa ushuzi siyo involuntary action.

Sio kujamba tu, mimi nakata gogo mbele ya mke wangu. Na hiyo ni level moja ya kuashiria mahusiano yetu sio ya maigizo.

Kutoa ushuzi hakujawekwa kama option kuwa unaweza kuamua tu kuwa usijambe.

Tena demu anaejamba mbele yangu kuna kamvuto ananiongezea juu yako kwa kuamini kuwa she is not pretencious.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…