Kupumua(kujamba) mbele ya mpenzi wako, hii ikoje?

Koo za simba hio ni aibu kubwa sana> Sio tu kwa mke/wako. Unatakiwa uende faragha.
 
Kuna mtu kakujambia machoni?🤔
 
Tukiwa wawili chumbani mimi na yeye huwa tunafanyaga mashindano
 
Subiri muanze kujifunika shuka/blanket moja, utajiachia tu.
 
suala la kujamba kwenye mahusiani ni kubwa mno,na halina jibu la aina moja,kila mmoja aongee na mtu wake mkubaliane ama kujambiana au kila mtu akajambe faragha
 
Tumeanza hadi kupangiana tusijambe mbele ya nani? Nimeshtushwa sana
 
Ukishaoa/kuolewa hio ndio pafyumu yako muda wote mkiwa pamoja
 
Ukikua utaacha utoto na utajamba tu.
Kwenye hili hakuna cha kukua. Unaweza kusema sawa ni fresh tu kumua mbele ya mpenzi wako, lakin ukipita maeneo yenye harufu mbaya anaziba pia, maana yake hewa chafu iliyokataliwa tumboni Ina harufu nzuri?

Mkuu unaleta jokes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…