Kupumua(kujamba) mbele ya mpenzi wako, hii ikoje?

Mke/Mume tunatarajia utaishi naye maisha yote mpaka kifo kiwatenganishe, je utaweza kujibana maisha yako yote ili akuone mstaarabu? Maisha Halisi ni Maisha Rahisi.
Siyo maisha rahisi kwasababu hata wewe mwenyewe utajilazimisha kuiozoea harufu ya kinyesi inayotolewa Mara kwa Mara na mwenzi wako, siyo kuzoeana kwenye shida na Raha kwenye vitu Kama hivi, u a out of context mkuu.
 
Kama huwezi kujamba kwa uhuru mbele ya mke wako basi mahusiano yenu yana ulakini. Nazungumzia mke na si mpenzi...
Yaani uishi na mtu maisha yako yote uogope kujamba mbele yake?
Siyo kuogopa dadaa. Issue siyo kupendana.
 
Aisee🤔
 
Mke/Mume tunatarajia utaishi naye maisha yote mpaka kifo kiwatenganishe, je utaweza kujibana maisha yako yote ili akuone mstaarabu? Maisha Halisi ni Maisha Rahisi.
Nadhani anaongelea ile ya kuajichia bila kujali, kama uko peke yakoKujamba ni kawaida na huwezi kuishi na mwenza wako bila kwa bahati mbaya kujamba. Tena kwenye usingizi ndiyo kabisa kuna wanaoachia kama mizinga kama vita ya Ukraine na Russia. Kna ile yuko na mweza wako unaachia kwa makusudi ''pwaaa''!
 
Mkiwa wadogo kwenye mapenzi mnahisi kati yenu hakuna anayetita,

Nyie wapenzi hamjawahi kuharisha!?? Kwani kuuliza kuhusu kujamba!? Mbona ni jambo dogo sana kama umekomaa
 
Inategemea mnaishije, ila hiyo ya kujiachia pia siyo mbaya kama unajiachia kibinadamu tu...mbaya ni ile ya masikhara unamfata mwenzako na kumjambia mdomoni! Ila kama mmekaa pamoja ushuzi ukaja ukauachia haina ubaya maana huwezi kujibana kila siku na wakati huyo ni mwenza wa maisha.
 
Siyo maisha rahisi kwasababu hata wewe mwenyewe utajilazimisha kuiozoea harufu ya kinyesi inayotolewa Mara kwa Mara na mwenzi wako, siyo kuzoeana kwenye shida na Raha kwenye vitu Kama hivi, u a out of context mkuu.
Mnafanya maisha yawe magumu mno, mambo mengine hayahitaji nguvu kueleweshana. Kujamba ni tendo la kibimadamu so huwezi kulificha kila siku ukaweza, muhimu ni kujiachia bila kuleta masikhara kama ya kumjambia mwenzako mdomoni au kumfata makusudi na kujamba mbele yake. Kama ushuzi umekuja mkiwa pamoja chumbani huwezi kutoka unakimbia kujamba nje! Achia ushuzi mambo mengine yaendelee..nyie endeleeni kujificha tuone kama mtaweza mpaka kufikia uzee.
 
Mimi bwana huwa nafurahia sana mwanamke wangu akijamba mbele yangu. Ila niwe mimi na yeye tu, sio mbele za watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…