Nimeangalia viwango vinavyoonesha kupungua kwa bei ya mafuta. Hata hivyo punguzo la halisi ni kama 1-2.5% hivi. Mfano Morogoro lita ya petrol kabla ni Tshs. 2080 lakini bei elekezi kufutuatia punguzo ni Tsh.2029.
Je kwa punguzo hilo kweli serikali inadhamiria kumpunguzia mtanzania ukali wa maisha?