Kupungua kwa tumbo la mama mwenye mimba miezi 9

Mtoto anakuwa amejibanza nyuma ya tumbo
 
Mpeleke hospital akapige ultrasound....

am better here
 
Ndio najua sasa hivi,kumbe iko hivyo!
 
Ndio najua sasa hivi kutoka kwako kwamba mwanamke mwenye mimba ya miezi tisa tumbo linapungua
Hiyo imemtokea yeye, kwahiyo anahitaji ufafanuzi katika hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…