Kupungua nguvu za kiume

Kupungua nguvu za kiume

LUPITUKO

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
279
Reaction score
184
Wadau na hasa Madoctor wa JF mnaotembelea humu nawaombeni kuwauliza yafustayo na mwenye jibu sahihi tafadhali saidie sio kuleta matani mwenzenu nina shida.

Hivi inawezekana kama unaupungufu wa nguvu za kiume ukasimamisha kwa kuona picha za uchi au kuongea tu na dem au mke wako?

Inawezekana uwe na upungufu wa nguvu za kuime na ukasimamisha at least kila cku wakati wa asubuhi na muda wowote tu ilimradi umekumbuka mambo yetu yale?

Unaweza piga punyeto muda wowote unaotaka na ukamaliza?

Nauliza hivi kwa sababu mimi ninatatizo la wakati mwingine kushindwa kabisa kufanya sex na mwanamke, yaani inakataa kusimama kabsaaa. Lakini ninasifa zote za hapo juu . Sasa mimi nina upungufu wa nguvu za kiume? Kama jibu ni ndio au la nipeni ushauri.
Mwisho punyeto nimeongelea tu bt sio kitu nakifanyaga mara kwa mara ila niliharibu recently kwa vile nilisikia ham na nipo nchi moja huku hakuna dada poa kabisaa ingawa siwapendi pia vile mm najiheshimu sana. Lakini kwa kifupi stor iko hivo.
 
.....

What Are Erection Problems?


When men become sexually aroused, a number of hormones, muscles, nerves, and blood vessels all work in conjunction with one another to signal an erection. Nerve signals, sent from the brain to the penis, stimulate muscles to relax. This, in turn, allows blood to flow to the tissue in the penis. Once the blood fills the penis and an erection is achieved, the blood vessels to the penis close off so that the erection can be maintained. Following sexual arousal, the veins in the penis again open up allowing the blood to leave.


At some point in a man’s life, he may have difficulty achieving or maintaining an erection. Erectile problems occur when you cannot achieve an erection that is firm enough to have sexual intercourse. For most men, this problem occurs occasionally and is not a serious issue. However, if you are unable to achieve an erection 25 percent of the time or more, you may have a health problem that requires medical attention. Erection problems are also known as:



  • erectile dysfunction (ED)
  • impotence
  • sexual dysfunction
Advertisement

What Are the Common Underlying Causes of Erection Problems?

The causes of erection problems can be both physical and psychological. Physical causes of erection problems are more common in older men. They occur because of disorders that can affect the nerves and blood vessels responsible for causing an erection.

Physical causes of erectile problems include:


  • heart disease
  • atherosclerosis (hardening of the arteries)
  • high blood pressure
  • diabetes
  • obesity
  • high cholesterol
  • Parkinson’s disease
  • multiple sclerosis
  • Peyronie’s disease(development of scar tissue in the penis, causing painful erections)
  • use of certain medications, including diuretics, muscle relaxers, or antidepressants
  • alcoholism or substance abuse
  • tobacco use
  • trauma or injury to the spinal cord or genital region
  • congenital problems, such as hypospadias or epispadias
  • circumcision complications
  • liver or kidney disease
  • treatment for prostate problems
Psychological causes of erection problems occur in 40 percent of cases and are more common in younger men. Psychological issues can distract a man from becoming aroused and include:

  • anxiety over not being able to achieve or maintain an erection
  • prolonged emotional distress related to economic, professional, or social issues
  • relationship problems
  • depression
When Should You Call Your Doctor?

If you develop erection problems that get worse over time, you should call your doctor. You should also call your doctor if erectile problems develop or get worse after injury or prostate surgery. If you experience erectile problems along with other symptoms, such as lower back pain or abdominal pain, make a doctor’s appointment.

You should also talk to your doctor if you believe a new medication is causing your erectile problems. Do not stop taking your medication before talking to your doctor.
How Can Erectile Problems Be Treated?

If you experience erectile problems, you may want to try homecare options to reduce your symptoms. Many of the physical causes of erectile problems are related to lifestyle choices.
As such, you may want to consider the following:

  • cutting down or stopping tobacco use
  • reducing alcohol consumption
  • getting plenty of rest
  • eating a healthy diet
  • exercising regularly
  • talking with your partner about sexual issues
If changes in your lifestyle do not reduce your symptoms, you will need to contact your doctor to identify the cause of your erectile problems. Your doctor will examine your penis and rectum as well as your nervous system function. Your doctor will also ask you about current health problems and when your symptoms began.
In an effort to accurately diagnose the cause of your erection problems, your doctor may also order tests, including:

  • complete blood count (CBC)-—a set of blood tests that checks for anemia (low red blood cell count)
  • hormone profile—measures the levels of sex hormones (testosterone and prolactin)
  • nocturnal penile tumescence (NPT)—measures erectile functionality while a man is sleeping
  • duplex ultrasound—high-frequency sound waves are used to take pictures of the body’s tissues
  • urinalysis—analyzes urine to measure protein and testosterone levels
Once your doctor determines the cause of your erection problem, he or she will provide appropriate treatment. Treatment options may include addressing the underlying health problem and providing intervention to reduce erection problems.

Options for treating erection problems may include:


  • medications injected into the penis, including prostaglandin E1 (alprostadil) and papaverine
  • medication (alprostadil (MUSE)) injected into the urethra
  • erectile dysfunction medications taken by mouth, such as Viagra
  • surgery
  • vacuum devices
What Are the Complications of Erection Problems?

The complications associated with erection problems are significant and can impact your quality of life. If you experience erection problems, you may also experience:


  • stress or anxiety
  • embarrassment
  • low self-esteem
  • relationship problems
  • dissatisfaction with your sex life
How Can You Prevent Erection Problems?

To prevent erection problems, you should engage in healthy lifestyle behaviors, such as eating a healthy diet, maintaining a healthy weight, and exercising regularly. If you have chronic health conditions, such as diabetes or heart disease, you should also work with your doctor to manage your symptoms. If you experience mental health problems, such as anxiety or depression, you should also seek treatment.
 
Thnx kwa ushauri mkuu. Ingawa siko perfect lakini ukweli ni kwamba so far siumwi chochote kati ya ulivyotaja hapo juu na hata toka nizaliwe sijawahi nikalala kitandani. Nafanya mazoezi kila cku. Nakula vzr sana I mean diet. Matunda kila cku. Sio mlevi yani kwa mwezi labda bia 2 au 3 basi.
Nina kazi nzuri hata sina stress zozote za maana ingawa kwenye life stress mtu hukosi angalau za maisha tu au familia hivi.
Kifupi nipo vzr tu. Ndo maana nauliza tatizo hili ni nguvu za kiume au nakuwa na mwanamke sio?
 
pole sana mkuu mimi ninachofaham upo vizur2 ila uhav apsychological problem imean unapokuwa na mwanamke u expect much from her au unamuogopa kulingana na yeye alivyo let say uzur wake, au unakutana na mwanamke ambae ankuboa tu some point that makes u to be out of mood kwa muda,, sex needs attention and maximum stimulation be free and relax be ahero to ladies dont fear im pretty sure tatzo litaisha,,,usifikamie sana wala usipuuzie wakat wa sex just do the rt thing in art time,,just put each and everythng aside then stick on sex and dont take too much preparations just bcoz of sex.,
 
wewe LUPITUKO,

Ukweli ni kuwa unazo nguvu za kiume.. ila tatizo ni kuwa hazitoshi. Kuna uwezekano kuwa hakuna mtiririko wa kutosha wa damu wa kuelekea kwenye uume wako wakati unahitaji kufanya sex. Kama hakuna mtiririko wa kutosha, basi uume hauwezi kusimama vya kutosha.. utakuwa legelege na unaweza usiwe imara hata kuingiza kwenye uke wa mke. sasa nenda fasta hospital umwone Urologist na mambo yako yatakuwa fresh kabsa.. Nimepitia uzoefu kama wa kwako..

Natoa Onyo hili: waganga wa humu JF watajitokeza kuwa wanatibu kila kitu, tena wana lugha nzuri mno.. Mimi nakuambia nenda umwone daktari basi.. Utakuwa salama na wala hutatumia pesa kubwa/nyingi...


Wadau na hasa Madoctor wa JF mnaotembelea humu nawaombeni kuwauliza yafustayo na mwenye jibu sahihi tafadhali saidie sio kuleta matani mwenzenu nina shida.

Hivi inawezekana kama unaupungufu wa nguvu za kiume ukasimamisha kwa kuona picha za uchi au kuongea tu na dem au mke wako?

Inawezekana uwe na upungufu wa nguvu za kuime na ukasimamisha at least kila cku wakati wa asubuhi na muda wowote tu ilimradi umekumbuka mambo yetu yale?

Unaweza piga punyeto muda wowote unaotaka na ukamaliza?

Nauliza hivi kwa sababu mimi ninatatizo la wakati mwingine kushindwa kabisa kufanya sex na mwanamke, yaani inakataa kusimama kabsaaa. Lakini ninasifa zote za hapo juu . Sasa mimi nina upungufu wa nguvu za kiume? Kama jibu ni ndio au la nipeni ushauri.
Mwisho punyeto nimeongelea tu bt sio kitu nakifanyaga mara kwa mara ila niliharibu recently kwa vile nilisikia ham na nipo nchi moja huku hakuna dada poa kabisaa ingawa siwapendi pia vile mm najiheshimu sana. Lakini kwa kifupi stor iko hivo.
 
Back
Top Bottom