60 za kawaidA tu sister..Mbona kawaida sana
Mi ata izo kilo 60 sizitaki
Siumwi Wala Nini..sema hyo moja itakwA ndo inantafuna"" mawazo""ni kawaida, msosi, mawazo, kutokulala vyema, kugegeda sana na huli kati ya hayo yanaweza changia endapo huumwi.. so ni ww ndo unajua lifestyle yako na ni nn kimebadilika kati ya hayo