resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Umeshakula ng'ombe mzima... malizia tu. Hizo mbao zitashikilia board miaka yote ya uhai wa nyumba! ni lazima ziwe imara. Hata mtu akipanda juu kwa ajili ya service mbalimbali ziweze kuhimili. Kaza buti kidume malizia nyumba hiyo tuanze kukutembelea!!!
Ndo nyie mnaosababisha mafundi kuporomoka na kuvunja migongo au viuno.Habari zenu wadau wa JF?
Je, ninaweza kutumia nusu ya boriti ya 2x2 (kuikata katikati kwa urefu nakuwa 1x2) kwa ajili ya blandering? Au inaweza kuleta shida in-terms of strength ya kushikilia gypsum board?
Msaada tafadhali!